Tanzania imepangwa katika kundi B la mashindano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) 2024 zitakazofanyika ...
KAMA kuna msanii aliyesaidia kuwaliwaza Waarabu hasa wa kwao Lebanon basi ni mwimbaji Nouhad Wadie’ Haddad ‘Fairuz’.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi ameizawadia Timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar ...
KOCHA, Pep Guardiola amekuwa mbogo na kumfokea mchezaji wake kabla ya kumkumbatia baada ya sare ya mabao 2-2 iliyopata timu ...
MSHAMBULIAJI Abdoulaye Yonta Camara ameungana na nyota wengine kutoka Singida Black Stars kuitumikia Pamba Jiji kwa mkopo wa ...
Simba inashika nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi A la Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa na pointi 10.
LIVERPOOL imekataa ofa ya Pauni 70 milioni kutoka Al-Hilal ya Saudi Arabia inayopambana kuhakikisha inamsajili straika wao ...
ERIK ten Hag amekuwa akifanya kazi kama kocha kivuli wa Borussia Dortmund wakati huu presha ikiwa juu kwa kocha mkuu wa ...
BAADA ya kukamilisha usajili wa Danny Lyanga, kocha mkuu wa Mashujaa, Mohamed Abdallah ‘Baresi’ amefichua siri iliyomfanya ...
DIRISHA dogo la usajili lilifungwa jana usiku, huku mapema juzi Tabora United ilikamilisha dili la kumsajili mshambuliaji ...
HATIMAYE ile muvi ya mshambuliaji wa Simba Queens imemalizika baada ya mchezaji huyo kukubali yaishe na kurudi unyamani.
BEKI kisiki wa zamani wa Coastal Union, Simba na Mtibwa Sugar, Abdi Banda amejiunga na Dodoma Jiji kama mchezaji huru baada ...